Unordered List

Definition List

Gardner Apinga Uzushi Wa Kuwa Ameachana Na Lady Jaydee

Mtangazaji Maarufu Gardner G. Habash Ambae pia ni Mume wa Mwanamuziki Lady Jay Dee Amezipangua Tuhuma ambazo zilienea Kwenye Mitandao Week iliyopita kuwa ndoa yao haipo tena.

Gardner Amesema kuwa watu wanaunganisha unganishamatukio na kutunga yao ila si kweli kwamba wameachana...

Si mara ya kwanza kwa mastaa hao kudaiwa kutibuana kwani walisharipotiwa kutaka kutengana lakini mara nyingi huwa wanakaa chini na kuyamaliza kimyakimya.
Gardner Apinga Uzushi Wa Kuwa Ameachana Na Lady Jaydee Gardner Apinga Uzushi Wa Kuwa Ameachana Na Lady Jaydee Reviewed by Admin on Friday, August 15, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.