Unordered List

Definition List

Huddah Monroe Afichua Siri Kubwa Ya Vera Sidika

Staa wa BBA Huddah Monroe amefichua siri kubwa ya rafiki yake ya zamani Vera Sidika.

Kupitia Instagram Huddah ameweka wazi kuwa Vera wakati flani alichopoa mimba....na wala si mara ya kwanza kufanya kitendo hicho cha laana kwani ashawahi kushika mimba zaidi ya mara moja.

Katika post yake ndefu Huddah alidai kuwa yeye na Vera mwanzoni walikuwa marafiki wakuu kabla kuachana. "Vera ameharibika!" alidai Huddah.

Huddah aliongezea kuwa alimsaidia Vera kuavya mimba na sahizi ameamua kumwaga mtama kuhusu kila kitu.

Cheki full statement alivyofunguka:

"Vera and I Were Best of Friends But The lady is spoilt. Our first trip to Nigeria was awesome, I took Vera to Nigeria myself and it’s me who paid her first ever flight. I actually Don't know where She got the new attitude from and for all I care she is just but a call girl. I admit I helped her get an @b0rt10n of a baby ready to be born just because she didn’t know what to do with the pregnancy and whose child it was. That was not the first pregnancy she had gotten rid of. Keep it 'Huddah Monroe Reborn' and I will Reveal The Whole Story"

Hivi naona kumeanza kunukia kivumbi cha Huddah vs Vera
Huddah Monroe Afichua Siri Kubwa Ya Vera Sidika Huddah Monroe Afichua Siri Kubwa Ya Vera Sidika Reviewed by Unknown on Saturday, August 02, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.