Unordered List

Definition List

Tisha!! Picha Ya Mhudumu Wa Kanisa Akimpapasa Muumini Kweupe!

Kumekuwa na visanga zaidi ya vimoja vikiwahusisha watumishi wa makanisa wakiwatendea ndivyo sivyo waumini wao.

Kisanga kimoja kilichozua mjadala mkubwa mwaka jana ni wakati mchungaji wa kanisa flani aliposhika uchi wa muumini bila wasiwasi...well roundi hii kumemulikwa mwingine.

Katika picha iliyonaswa na paparazi imemuonyesha mhudumu wa kanisaakimpapasa matiti ya 'mwanakondoo' bila woja wowote.


Hivi ni macho yangu yananichanganya ama namwonea?
Tisha!! Picha Ya Mhudumu Wa Kanisa Akimpapasa Muumini Kweupe! Tisha!! Picha Ya Mhudumu Wa Kanisa Akimpapasa Muumini Kweupe! Reviewed by Admin on Monday, August 11, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.