Unordered List

Definition List

Jackline Wolper Na Ney Wa Mitego Wana Uhusiano Wa Kimapenzi!??

Kuna tetesi na Minogono Kitaani kuwa Mwanamuzi Ney wa Mitego anachepuka na Mbongo Movies Jackline Wolper...

Ney Ameulizwa kuhusu hilo na Kujibu kuwa hizi ni story tu zinasema ila si kweli kuwa wanatoka wote, Ney Amezidi kusema kuwa habari hizi zinafanya mpaka muda mwingine wanagombana na mpenzi wake Siwema kwani Watu wanamletea umbea usio wa Kweli ...Amesema Jack Wolper ni rafiki yake na ukaribu wao ni wa Kikazi Zaidi .
Jackline Wolper Na Ney Wa Mitego Wana Uhusiano Wa Kimapenzi!?? Jackline Wolper Na Ney Wa Mitego Wana Uhusiano Wa Kimapenzi!?? Reviewed by Admin on Friday, August 08, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.