Unordered List

Definition List

Penny Apanga Kumtia Machungu Diamond, Ahakikisha Kumkodisha Kumwimbia Mdogomdogo Kwa Harusi Yake

Mtangazaji wa 93.7 E-FM kupitia kipindi cha Genge, DVJ Penny ambaye wiki kadhaa zilizopita picha zake zilisambaa mtandaoni zikimuonyesha akiwa amevishwa pete ya uchumba huku mwanaume aliyefanya tukio hilo akiwa ni kitendawili, hatimaye mwanadada huyo ameibuka na kumuweka wazi mpenzi wake…..

Akiongea na mdaku, rafiki wa karibu wa Penny amesema kuwa jamaa aliyemvalisha pete ni kigogo mwenye pesa chafu anayemiliki migodi kadhaa ya madini anayefahamika kwa Jina la Johnson raia wa Angola….

Rafiki huyo amesema kuwa kutokana na jeuri ya pesa ya kigogo huyo, Penny anatarajia kufanyiwa bonge la harusi nawatafanya kila namna ili Diamond awe mtumbuizaji katika sherehe hiyo…
Penny Apanga Kumtia Machungu Diamond, Ahakikisha Kumkodisha Kumwimbia Mdogomdogo Kwa Harusi Yake Penny Apanga Kumtia Machungu Diamond, Ahakikisha Kumkodisha Kumwimbia Mdogomdogo Kwa Harusi Yake Reviewed by Admin on Thursday, August 14, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.