Unordered List

Definition List

Penzi La Agness Masogange Na Msauzi Labutika

SIKU chache baada ya kupata uraia wa Afrika Kusini, uchumba wa Video Queen, Agnes Gerald ‘Masogange’ na mpenzi wake, Louis Dolnard umetibuliwa.

Hali hiyo ilijiri kutokana na madai kuwa kuna wanaume wamepeleka maneno ya kimbeya kwa mpenzi wake huyo yakiashiria kuwa mrembochuyo hajatulia.

Hata hivyo, Agnes amefunguka kuwa kamwehawezi kuachana na mchumba wake huyo.“Wanaume wengine sijui wapoje, wanapeleka maneno ya kimbeya kwa mchumba wangu sijui wanataka nini? Kwa taarifa yao siachiki ng’o,” alisema Masogange.
Penzi La Agness Masogange Na Msauzi Labutika Penzi La Agness Masogange Na Msauzi Labutika Reviewed by Admin on Saturday, August 30, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.