Unordered List

Definition List

North West Aingia Modeling Akiwa Na Miezi 13

Kim Kardashian amewashangaza wengi baada ya kuweka picha ya mtoto wake kama fashenist.

Katika picha hio iliyoandikwa 'NORTH WEST THE FUTURE "Its never to early to care about fashion" imeibua maswala iwapo Kim Kardashian kweli anajali maslahi ya mtoto wake.

North alipigwa picha hii katika jarida la CR Fashion Book. Hii haitakuwa mara ya kwanza kwa North West kuonekana katika magazeti ya fasheni kwani pia ashawahi kupiga picha na wazazi wake katika gazeti la VOGUE
North West Aingia Modeling Akiwa Na Miezi 13 North West Aingia Modeling Akiwa Na Miezi 13 Reviewed by BkuHabari Admin on Thursday, August 14, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.