Unordered List

Definition List

Picha Za Shilole Akivalia Kanga Moko Zavuja Mtandaoni

Picha za kimahaba za mwanamuziki na nguli wa nongo movies mrembo Shilole zimevuja mtandaoni.




Picha hizo zinazoonyesha alikwa ndani ya kanga moko akiwa na mpenzi wake wa sasa Nuhu Mziwanda...

Shilole alipoulizwa kuhusu picha hizo alisema haya: “Kweli hizo picha ni zangu na Nuh (Mziwanda), tulijipiga kwa ajili ya kumbukumbu na tulikuwa na muda mrefu hatujiachia si unajua tena Mwezi Mtukufu?“Unajua simu yangu haina password na nina watu wengi wa karibu so nahisi ndiyo wamezivujisha na nikimjua namtoa kabisa kwenye network yangu maana siku nyingine anaweza kunifanyia jambo kubwa baya.”
Picha Za Shilole Akivalia Kanga Moko Zavuja Mtandaoni Picha Za Shilole Akivalia Kanga Moko Zavuja Mtandaoni Reviewed by Admin on Sunday, August 03, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.