Unordered List

Definition List

Diamond Platnumz Na Jokate Waoneana Aibu Katika Interview Ya The One

Kipindi cha The One ambacho kinapeperushwa na TV1 kimeanza na mshikaji usukani ni Jokate, mpenzi wa zamani wa Diamond Platnumz na Ezden Jumanne.

Katika mahojiano yaliyorekodiwa leo ya Diamond Platnumz, imeonyesha kuwa wawili hawa wanaoneana haya.


Picha zilizoachiliwa leo na Diamond Platnumz Instagram zimefanya mashabiki wengi kudai kuwa wawili hawa wanaoneana aibu.

Hivi waona ukweli flani katika picha hapo juu?
Diamond Platnumz Na Jokate Waoneana Aibu Katika Interview Ya The One Diamond Platnumz Na Jokate Waoneana Aibu Katika Interview Ya The One Reviewed by Admin on Friday, August 08, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.