Unordered List

Definition List

North West: Mtoto Wa Kimye Anamiliki Choo Cha Dhahabu,

Kim Kardashian na Kanye West wameamua kumharibu mtoto wao North West kwa anasa.

Kulingana na jarida la Star Magazine, limeelezea kiundani issue zima kuhusu vile Kimye wanavyomharibu North West kwa anasa ambazo mtoto wa kawaida hawezi kufikiria kupata.

Chanzo cha karibu cha wawili hawa kinadai kuwa "Kimye wanamwona Nori kama kielelezo chao" na "wameingiwa na uzoefu wa kumharibu kifedha".

Baadhi ya mambo chanzo hicho kilidai kuhusu North West.

+ Wakumbuka kile choo cha dhahabu katika harusi ya Kimye? Basi North West ana chake spesheli saiz yake
+ Kanye West ametumia zaidi ya milioni kumnunulia Nori nguo ambazo ni custom made kutoka kampuni kubwa kama Givenchy, Gucci, na Louis Vuitton!
+ Jewelry collection yenye gharama ya $1 milioni ikiwemo vipuli vya diamond vyenye ngarama ya $75,000 pamoja na vikuku vyenye gharama $500,000.
+ Kanye pia inasemekana kuwa mtoto wake atakuwa akisafiri na magari kama makubwa kama vile Range Rovers, Bentleys, Porsches, na level ya magari haya. Kanye anadai kuwa hakuna wakati Nori ataonekana akiwa ndani ya Honda!
+ Halafu pia inasemekana kuwa Kim na Kanye wanadai kuwa mtoto wao hatahusishwa kutangamana na watu maskini, wasiojulikana ama wasiokuwa na manufaa kwake.
North West: Mtoto Wa Kimye Anamiliki Choo Cha Dhahabu, North West: Mtoto Wa Kimye Anamiliki Choo Cha Dhahabu, Reviewed by Admin on Monday, August 25, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.