Unordered List

Definition List

Picha 4 Za Risper Faith Za Bikini Zitakazokufanya Umchukie

Risper, Risper, Risper...

Hili jina limekuwa kawaida katika google search kwani ni miongoni mwa wadada wanaopenda kuwaridhisha mafans wao.

Staa huyu 'socialite' anafahamika sana kwa mitindo yake ya kupiga picha za bikini ambazo mara nyingi zinawapatia tumbo joto wapinzani wake akina Corazon Kwamboka na Huddah Monroe.

Katika hizi picha latest kutoka kwake sisemi mengi ila jionee mwenyewe







Hapo vepe?
Picha 4 Za Risper Faith Za Bikini Zitakazokufanya Umchukie Picha 4 Za Risper Faith Za Bikini Zitakazokufanya Umchukie Reviewed by Admin on Wednesday, August 20, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.