Unordered List

Definition List

Pochi Yamsitiri Kajala Masanja Kukaa Nusu Utupu

Msanii wa filamu, Kajala Masanja, hivi karibuni alijikuta akiwa kwenye wakati mgumu baada ya kukaa kwenye kiti na kuachia sehemu zake nyeti kiasi cha kuwatoa udenda baadhi ya wanaume.


Tukio hilo lilijiri mkoani Tanga wakati msanii huyo alipokwenda kwenye Tamasha la Fiesta, alipokaa kwenye kiti alijikuta akikaa vibaya mazingira yaliyomfanya ahangaike ili kuziba maeneo yake muhimu.

Kutokana na hali hiyo, alichukuwa pochi yake na kuiweka mapajani na kufanikiwa kujiziba, lakini licha kufanya hivyo alikosa raha.
Pochi Yamsitiri Kajala Masanja Kukaa Nusu Utupu Pochi Yamsitiri Kajala Masanja Kukaa Nusu Utupu Reviewed by Admin on Saturday, August 30, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.