Unordered List

Definition List

Masanja Mkandamizi Aingiza Kidole Swala La Wema Sepetu Na Diamond Platnumz

Mpaka sahizi kumeendelea kuwa na mvutano na migogoro kati ya mahusiano ya Diamond Platnumz na mpenziwe Wema Sepetu, kitu ambacho kimefuta atenshen kwa mchekeshaji Masanja kuingilia kati.

Kupitia Instagram Masanja amejaribu kuliingilia swala zima kabla halijaanza kufikia pabaya zaidi.

Hivi ndivyo alivyoongea “HILI SWALA LA DIAMOND NA WEMA NADHANI MUNGU AMEMUHURUMIA MMOJA WAPO KATI YA HAO WAWILI. KAMA WANGEKUWA WATU WA KUOANA WANGESHA OANA UCHUMBA GANI MREFU KAMA WANASOMEA UDOKTA???? RAFIKI YANGU NASIB, KAMA KWELI MLIPENDANA KWA DHATI HIZO KASORO ZINAREKEBISHIKA, MAANA HAKUNA MWANADAMU ALIYE SAHIHI KWAN HATA WW NASIB UNAMAPUNGUFU YAKO. NA WEWE DADAYANGU WEMA LAZIMA UJUE MME NDIO KICHWA CHA NYUMBA KWA MAELEZO HAYO INAONYESHA HAUMSIKILIZAGI MWENZIO OMBA MSAMAHA TENAAA NA TENA NA UKUBALI KUBADILIKA. MI SIPENDI MKIWA MNAONGOZANA WOTE KWENYE MA SHOW YA USIKU MME KAFANYE KAZI MKE ABAKI HOME UKIRUDI MWILI UMEPOA HATA UJAUZITOUNAINGIAA!! SASA WOOTE STEJINI MKIRUDI MIILI YA MOTO SI MTAZAA POPOMPOO JAMANIII!! NITAFURAHI KUSIKIA TOFAUTI ZENU MMEZIMALIZA KWA AMANI ILI MASHABIKI WENU WASIJISIKIE VIBAYA.”

Wema Sepetu na Diamond Platnumz walirudiana officially mwaka jana.
Masanja Mkandamizi Aingiza Kidole Swala La Wema Sepetu Na Diamond Platnumz Masanja Mkandamizi Aingiza Kidole Swala La Wema Sepetu Na Diamond Platnumz Reviewed by Admin on Sunday, August 17, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.