Unordered List

Definition List

Justin Beiber Aparty Pamoja Na Kim Kardashian, Kanye West

Staa wa albamu 'Journal' Justin Bieber siku ya Ijumaa aliweza kuparty pamoja na Kim Kardashian.

Tukio hili lilifanyika katika birthday ya designer wa Givenchy kwa jina Riccardo Tisci jijini Ibiza, Spain

Party hio bab kubwa iliyopewa jina 'douchepocalyptic night out' ilihudhuriwa na familia ya Kardashian ikiweo Kim, Kendall na Kris Jenner ikimjumlisha Kanye.

Beiber alionekana kuwa na furaha baada ya kurusha picha kwa zamu Instagram nyingine zikionyesha akimla muchu Kendall Jenner (kuonyesha machungu kwa Selena Gomez).

"@kimkardashian @kendalljenner @krisjenner celebrating @riccardotisci17 birthday," ni baadhi ya moja wapo ya status alioiachilia mafans wake wa Instagram.

Beiber pia aliweza kurusha moja wapo ya video ya shoo Kanye West aliyopiga katika party hio ya Ibiza.
Justin Beiber Aparty Pamoja Na Kim Kardashian, Kanye West Justin Beiber Aparty Pamoja Na Kim Kardashian, Kanye West Reviewed by Admin on Saturday, August 02, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.