Unordered List

Definition List

Sababu Inayosemekana ya Babu Tale kumsimamia Shilole kikazi kwa Sasa ni Hii.

Manager wa Tip Top Connectionna Diamond Platnumz Babu Tale inasemekana anamsimamia kwa sasa Shilole kama msanii wake kwa kile ambacho kimeelezwa na Soudy Brown kuwa deni alilokua anadaiwa Shilole.

Deni ambalo linasemwa kuwa Babu Tale alilipa ni la gari ambalo alikua akidaiwa Shilole hivyo wakakubaliana kuwa watakua wakikatana kwenye show tofauti mpaka deni hilo litakapoisha.

Soudy Brown kaongea na Shiloleambaye kasema ‘Mbona mimi sijui hayo mambo,sio kweli huo uwongo watu waongo sio kweli,gari ni langu na nina kila kitu changu watu wana donge kuona mimi Shilole naendesha Toyota Harrier Lexus nilinunua Milion 24′‘

Babu Tale ni mtu anayenisaidiakwenye kazi zangu na namheshimu kama kaka yangu nimeanza nae kazi mwaka huu na sina mkataba nae’
Sababu Inayosemekana ya Babu Tale kumsimamia Shilole kikazi kwa Sasa ni Hii. Sababu Inayosemekana ya Babu Tale kumsimamia Shilole kikazi kwa Sasa ni Hii. Reviewed by Admin on Saturday, August 30, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.