Unordered List

Definition List

Aunt Ezekiel Alibariki Penzi La Wema Sepetu Na Diamond Platnumz

Mrembo wa Bongo Movies Aunty Ezekiel Amefunguka Kuhusu Penzi la Wema na Diamond Platnumz na kusema yeye kila siku anakesha na kuomba penzi hilo lidumu milele kwani ni Penzi ambalo kila mtu anavutiwa nalo hivyo hayupo radhi kuona Wema Sepetu na Diamond Platnumz wakiachana Tena...

Anty Ezekiel kwa sasa ndio shosti wa Karibu wa Wema Sepetu
Aunt Ezekiel Alibariki Penzi La Wema Sepetu Na Diamond Platnumz Aunt Ezekiel Alibariki Penzi La Wema Sepetu Na Diamond Platnumz Reviewed by Admin on Monday, August 04, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.