Unordered List

Definition List

Wiz Khalifa Na Amber Rose Pamoja Na Mtoto Wao: Mwaka Mmoja Baadaye

Staa anayegonga chats kwa kibao 'We Dem Boyz' Wiz Khalifa siku ya jana kalisherehekea pamoja na mkewe Amber Rose mwaka mmoja baada ya kuchumbiana.

Kupitia mtandao wa Instagram, staa huyu aliweza kurusha picha ya familia yake wakiwa pamoja na kuambatanisha maneno: "Today was the day we said our vows before God and our Family. I knew as soon as I met u, u were the one for me sweetheart. Happy 1 year anniversary @mistercap and many more to come."
Rose na Wiz Khalifa ni wazazi wa Sebastian "The Bash" Taylor Thomaz ambaye alizaliwa February 2013.

Wengi walilitilia shaka kama wawili hawa wangeweza kudumu kindoa lakini baada ya mwaka mmoja bado wako sawa bila tatizo.
Na kama walivyosema...tutarajie makubwa kutoka kwa wawili hawa
Wiz Khalifa Na Amber Rose Pamoja Na Mtoto Wao: Mwaka Mmoja Baadaye Wiz Khalifa Na Amber Rose Pamoja Na Mtoto Wao: Mwaka Mmoja Baadaye Reviewed by BkuHabari Admin on Tuesday, August 19, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.