Unordered List

Definition List

Penzi la Mainda Lagombewa na Wanaume Wenye Uchu

Staa wa Filamu za Kibongo aliyeamua kumpokea Yesu, Ruth Suka ‘Mainda’ amesema amekuwa akipata wakati mgumu kumjua mwanaume wa kweli ni yupi ambaye anaweza kumuoa na ndoa yake ikawa na raha badala ya majuto kama ilivyo kwa baadhi ya wasanii wenzake….

Mainda alisema hakuna kipindi kigumu kama kujua yupi ni mwanaume sahihi wa kumuoa na hili limekuwa likiutesa moyowake japo sasa ameamua kumwachia Mungu wake ili amsaidie kwani kwa akili zake ameshindwa…

“Hakuna wakati mgumu kama kipindi cha kumpata mume sahihi kutoka kwa mungu, kwani ukijichanganya unaweza kuchukua mwanaume ambaye si wako na kusababisha kuwe na mafarakano ndani ya ndoa na hili ndio linaumiza kichwa changu kwani mpaka sasa sijajua ni yupi katiya wengi wanaohitaji kunioa,” alisema Mainda
Penzi la Mainda Lagombewa na Wanaume Wenye Uchu Penzi la Mainda Lagombewa na Wanaume Wenye Uchu Reviewed by Admin on Saturday, August 30, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.