Unordered List

Definition List

Agness Masogange Abadilisha Uraia?

Agness Masogange amehamia na chukua uraia wa Afrika Kusini kama alivyoashiria kupitia akaunti yake ya Instagram.

Kulingana na mdada huyu ambaye yuko katika kategoria ya wanawake wenye maumbo tata siku ya jana asubuhi aliweka picha ya passpoti na kuweka alama ya kupiga makofi.

Si siri kwa nini mdada huyu mwenye atenshen nyingi bongo ameamua kuhamia na kuchukua uraia Bongo,
Kwanza ni kuwa anahepa skendo nyingi za Tanzania

Pili ni kuwa kuna jamaa Sauz anayemsumbua kimapenzi (udaku ni kuwa Masogange amebeba ujauzito wa huyo jamaa)

...na tatu ni kuwa labda Masogange anamkimbia mpinzani wake mkuu anayetishia himaya yake ya uQueen.

Hakuna stakabadhi official zilizotufikia na wala Agness hajaudhibitisha uraia wake wa Sauz so sisi hapa tunamfahamu bado kama video Queen wa Bongo.
Agness Masogange Abadilisha Uraia? Agness Masogange Abadilisha Uraia? Reviewed by Admin on Monday, August 04, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.