Unordered List

Definition List

Huddah Monroe Naye Arusha Picha Za Bikini. Tisha!!!

Huddah amerudi kwa game officially.

Wiki jana alitishia kumuanika rafiki yake wa zamani Vera Sidika kwa kuwa aliavya mimba zaidi ya mara kadhaa...na hivi sasa ameamua 'kujianika' mwenyewe.

Picha za bikini zinafahamika sana kwa akina dada Corazon Kwamboka na Risper Faith lakini sasa Huddah ameamua kuachilia ya mwezi.

Akiwa nchini Ghana, Huddah ameamua kuwapa uhondo mashabiki wake kwa kupiga picha akiwa amevalia bikini nyeupe










Baada ya hizi picha sasa kumebakia mdada mmoja aachilie zake...Vera Sidika!

Hivi mashindano ya bikini mpaka sasa ni kati ya Corazon Kwamboka, Risper Faith na Huddah....nani mkali!?
Huddah Monroe Naye Arusha Picha Za Bikini. Tisha!!! Huddah Monroe Naye Arusha Picha Za Bikini. Tisha!!! Reviewed by Admin on Tuesday, August 05, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.