Unordered List

Definition List

Rayuu Aomba Msamaha Kuhusu Picha Zake Za Uchi Kuvuja

Mwigizaji Maarufu Anayejulikana kwa jina la Rayuu amejitokeza baada ya kimya cha muda mrefu na kuiomba familia yake radhi kwa picha chafu zilizosambaa mtandaoni.

Rayuu kipindi cha nyuma amekuwa akivujisha picha zake mbali mbali za sehemu za mwili za kutatanisha ambazo sio nzuri kimaadili

Picha nyingi zake amekua akionyesha sehemu alizojichora tattoo ambazo mpenzi wake pekee ndio angepaswa kuona
Rayuu Aomba Msamaha Kuhusu Picha Zake Za Uchi Kuvuja Rayuu Aomba Msamaha Kuhusu Picha Zake Za Uchi Kuvuja Reviewed by Admin on Wednesday, August 13, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.