Unordered List

Definition List

Venessa Mdee Amuandama Prezzo Kila Mahali, Kunani?

Mfalme wa bling CMB Prezzo ameanza kugonga vichwa vya wengi baada ya kuonekana mara nyingi na Venessa Mdee. Wengi wameanza kuuliza maswali kama ana uhusiano wa kimapenzi na mdada Venessa ambaye ni maarufu kwa gemu.

Kulingana na wadaku wanaofuatilizia maisha ya msanii huyu tajiri zaidi kanda ya Afrika Mashariki na Kati, amekuwa akiandamana mara nyingi na Venessa kana kwamba ni mpenzi wake.

Wiki jana wawili hawa walionekana jijini Kisumu wakishikana mikono katika Dalas Rugby 7s.

Baadae walielekea hadi Club Buccaneers ambapo inasemekana kuwa Venessa alimtetemeshea makalio 'lap dance' Prezzo jambo ambalo liliwashangaza paparazi wengi.

Hii haitakuwa kwanza kwa wawili hawa kukutana kwani washawahi kuonekana sehemu kadhaa wakiwa pamoja.

Cheki picha zilizonaswa kuthibitisha ukweli huu.

Venessa Mdee Amuandama Prezzo Kila Mahali, Kunani? Venessa Mdee Amuandama Prezzo Kila Mahali, Kunani? Reviewed by Admin on Saturday, August 16, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.