Mrembo ambaye sasa amejiingiza kwenye filamu, Hamisa Hassan ‘Mabeto’ amesema kwa sasa hafikirii sualala kuolewa kwani bado anakula ujana.
Akizungumza na mapaparazi, Mabeto alisema bado anajiona mtoto hivyo kuliko kukimbilia maisha ya ndoa bora ale kwanza ujana. “Suala la kuolewa hapa kwangu hata silifikirii kabisa, mimi bado binti mdogo sana nitawezaje kukimbilia ndoa, hiyo ni mipango ya Mungu kila kitu kinaenda kwa wakati, muda utakapowadia nitaolewa,” alisema Hamisa.

Hamisa Mabeto: Sifikiriii Kuolewa Na Yeyote, Nala Ujana
Reviewed by Admin
on
Friday, November 07, 2014
Rating:
No comments:
Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!
Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano