Staa wa Kenya, Huddah Monroe amewaunga mkono wanawake nchini Kenya waliondamana kudai haki ya kuvaa nguo wanazopenda ‘MydressMychoice’.
Hii ni baada ya wiki jana wanawake kuanza kuvuliwa nguo hadharani wakionekana wamevalia nguo za kutamanisha nchini humo.
Akizungumza na BBC mmoja ya wanawake hao, alisema ameamua kuandamana ili kuitaka serikali ya nchi hiyo kuunda sheria kali ya kuwalinda wanawake.“Wanawake wanafaa kuacha kunyanyaswa wanapo nyanyaswa, sheria za kuadhibu mtu yoyote ambaye anayenyanyasa mwanamke zitengezezwe na zizidishe zaidi”alisema mwanamke huyo.
“MyDressMyChoice Protest! Kenyan men need to learn to respect women.MyDressMyChoice Protest! Undressing a woman in public is Sexual Harassment,”aliandika Huddah.

Huddah Monroe Aunga Wanawake Kuvaa Nguo Watakazo, Apinga Kuvuliwa Nguo Hadharani
Reviewed by Admin
on
Friday, November 21, 2014
Rating:
No comments:
Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!
Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano