Unordered List

Definition List

Wema Sepetu Kwa Naima: Sina Bifu Na Wewe

Baada ya picha kusambaa za uchi za Naima, sasa Wema Sepetu amejitokeza kuwa hana tatizo lolote na Naima baada ya yeye kumpokonya Clement.

Akiongea katika Segment ya U-Heard katika redio ya Clouds FM na Suddy Brown, Wema alidai kuwa hana bifu lolote na Naima kwani sahizi ametulia na yule ampendae kwa dhati Diamond Platinumz.

Inasemekana team_wema walivujisha picha za Naima akiwa nusu uchi ili kulipiza kisasi cha kudhalilishwa Wema na Clement mwenyewe.

Kufikia sasa mashabiki wa Wema wataupoozesha moyo kwa mwanadada huyu kwani imekuwa kisa na nusu kwa walichomfanyia.
Wema Sepetu Kwa Naima: Sina Bifu Na Wewe Wema Sepetu Kwa Naima: Sina Bifu Na Wewe Reviewed by Admin on Wednesday, February 05, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.