Unordered List

Definition List

Wema Sepetu Awapa Makavu Wote Wanaomtusi Kwa Mtandao

Staa wa Bongo Movies ambaye pia ni mchumba wa Diamond Platinumz ameamua kuwapa makavuu wale wote wanaopeta kumtusi ovyo kwa mitandao ya kijamii.

Wema amewagusia kuwa matusi yao hayamuumizi na wala hayamtii kero lolote. Hayampunguzii wala kumuongezea chochote katika maisha yake.

Staa huyu anapondwa na wengi baada ya kurudiana na Diamond huku maoni ya wengine ni kuwa wema ni tambara bovu, latumika na kuachwa.

Soma alichoandika Wema katika akaunti yake ya Instagram

Wema Sepetu Awapa Makavu Wote Wanaomtusi Kwa Mtandao Wema Sepetu Awapa Makavu Wote Wanaomtusi Kwa Mtandao Reviewed by Admin on Saturday, February 08, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.