Unordered List

Definition List

Cheki Vazi La Diamond Platinumz Lililosababisha Video Ya Dully Sykes Kupigwa Marufuku

Wote tumemsikia jana Prince Dully Sykes akiongelea kufungiwa kwa video yake ya kabinti special na Baraza la Sanaa Tanzania(BASATA) . Kuna sababu kuu mbili zilizosababisha video hii kufungiwa na ya kwanza  ni kitendo cha msanii Diamond Platnumz kuvaa T-shirt iliyoandikwa neno ambalo ni tusi .

Hii ingekua kwa nchi za mbele basi ungekutwa t-shirt hii wanaifanyia kitu kinaitwa “blurring” yaani
wanayafanya maneno yasisomeke lakini wabongo wakaona isiwe tabu na director akaamua kuacha video irushwe ikiwa katika hali hii.Sababu ya  pili ni vazi la ufukwe yule demu alilovaa kitu ambacho dully ameona haikua mbaya.


Je, Unadhani ni haki video hii kufungiwa na kama ni haki je unafikiri  ifungiwe ni kwasababu ipi ya msingi?
Cheki Vazi La Diamond Platinumz Lililosababisha Video Ya Dully Sykes Kupigwa Marufuku Cheki Vazi La Diamond Platinumz Lililosababisha Video Ya Dully Sykes Kupigwa Marufuku Reviewed by Admin on Thursday, February 20, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.