Unordered List

Definition List

Kim Kardashian Ashambulia Gazeti Lililodai Kuwa Makalio Yake Yanakua Bila Mpangilio

Ok wakumbuka ile siku iliyomuonyesha Kim Kardashian akiwa amevalia suruali iliyombana makalio na kuyaonyesha yote?


Sasa gazeti flani Marekani la In Touch Weekly limedai kuwa Kim Kardashian anshindwa kuyamudu makalio yake. Katika kichwa cha gazeti hilo lilisoma 'My Butt Wont Stop Growing' lilidai kuwa umbo la Kim Kardashian anashindwa kulimudu.

Katika kurudisha makali yake, mwanadada huyu ambaye ni mmoja wa familia ya Kardashian aliingia kwa Twitter na kuanza kujitetea kuwa yeye amtoka tu kujifungua hivi karibuni na haina hatia yeyote kuwa makalio yake yakizidi kuwa makubwa kwani hata mwaka haujaisha tangu ajifungue.

Kim pia alijitetea kuwa hafuko 'perfect' na wale wote wanaomtaka awe mwembamba yeye mwenyewe anajua wembamba ni size gani.

Wale wanaomtia presha mwanadada huyu waache za kwao na watizame picha kali za mwanadada huyu akiwa na bikini.


Kim Kardashian Ashambulia Gazeti Lililodai Kuwa Makalio Yake Yanakua Bila Mpangilio Kim Kardashian Ashambulia Gazeti Lililodai Kuwa Makalio Yake Yanakua Bila Mpangilio Reviewed by Admin on Thursday, February 20, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.