Unordered List

Definition List

Foundation Ray C Ndio Nini?

Anaitwa Rehema Chalamila kwenye stage ya muziki tunamjua kama Ray C.

Kitu kikubwa kinachosubiriwa kutoka kwake hivi sasa kazi zake mpya kwenye muziki baada ya kukaa kimya kwa muda mrefu.

 Kitu cha kusubiria sio hicho tu bali Ray C Foundation ni kitu kingine kitakacho kuja kutoka kwa Ray C.  Ameshare ujio wa foundation hii kwenye ukurasa wake wa instagram na kudokeza kwa maneno “Coming soon stay tuned!!!!!” japokuwa hakuweka wazi kazi ambayo itafanywa na foundation hiyo.
Foundation Ray C Ndio Nini? Foundation Ray  C Ndio Nini? Reviewed by Admin on Sunday, February 23, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.