Unordered List

Definition List

Kajala Masanja Ampiku Jackline Wolper, Sasa Yuko Na Mpenziwe

Kajala Masanja
 MSANII wa muziki wa kizazi kipya anayeunda kundi la Makomandoo Fredy Wayne ambaye alikuwa akitoka kimapenzi na Jacqueline Wolper amesema ameachana naye na sasa yupo na nyota mwingine wa filamu, Kajala Masanja. Akizungumza na FC hivi karibuni, Fredy alisema msanii huyo amemchanganya mno kimapenzi kiasi kwamba ameamua kumwandikia wimbo unaitwa Ushaniroga, kuonyesha ni jinsi gani amedata naye.
Jackline Wolper
“Siyo siri jamani ndiyo kashaniroga, nampenda na yeye kaonyesha upendo wake kwangu, nipo naye na kuhusu huyo Jack Wolper ni maisha tu, ni rafiki zangu, huwa naona nao katika maeneo tunapiga kiss, ni vitu vya kawaida lakini sasa niko na Kajala,” alisema.Hata hivyo, wadada hao wawili wanaofanya vizuri katika tasnia ya filamu Bongo hawakuweza kupatikana ili kuzungumzia habari hiyo ambayo ni gumzo ya jiji kwa sasa.
Freddy Wayne
Kajala Masanja Ampiku Jackline Wolper, Sasa Yuko Na Mpenziwe Kajala Masanja Ampiku Jackline Wolper, Sasa Yuko Na Mpenziwe Reviewed by Admin on Thursday, February 06, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.