Unordered List

Definition List

Obama Na Beyonce Wanamahusiano?!? Cheki Picha Ya Wawili Hawa Katika Tendo La Kushangaza

Uvumi uliozagaa kuwa rais wa Marekani ana mahusiano na msanii wa 'Drunk in Love' Beyonce ni uzushi ulioanziswa na gazeti moja nchini ufaransa. Wengi walitarajia gazeti la Washington kutoa habari hio lakini waliamua kunyamazisha stori hio na kuitwa uvumi wa kumharibia rais Obama picha yake.

Picha iliyozagaa kwa mtandao ikimuonyesha Obama akijaribu kumbusu Beyonce hadharani ndio imekuwa chanzo cha uvumi huo kuzagaa. Cheki picha yenyewe hapo chini utuambie ni kweli Obama ana mahusiano fiche na Beyonce.

Obama Na Beyonce Wanamahusiano?!? Cheki Picha Ya Wawili Hawa Katika Tendo La Kushangaza Obama Na Beyonce Wanamahusiano?!? Cheki Picha Ya Wawili Hawa Katika Tendo La Kushangaza Reviewed by Admin on Tuesday, February 11, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.