Unordered List

Definition List

Wema Sepetu Ashtushwa Na Kajala Kurudiana Na Clement

MAKUBWA! Beautiful Onyinye, Wema Isaac Sepetu ‘Madam’ ameshtushwa na habari zilizoshika kasi mithili ya moto wa kifuu kuwa eti shosti wake, Kajala Masanja anatembea na Clement aliyemwagwa na staa huyo hivi karibuni.

Kuhusu ishu hiyo, Wema alifunguka mwishoni mwa wiki iliyopita: “Nampenda sana rafiki yangu (Kajala) na sitaacha...

“Hakuna kitu cha Kajala nisichokijua... watu wanaweza kusema chochote lakini namjua rafiki yangu.
“Ebo! Eti anatembea na Clement? Dah Wabongo... basi hata kama kweli angekuwa anatembea naye, kwa hiyo?
Kajala Masanja.
“Msijaribu kuharibu urafiki wetu, wakati hamjui tumetoka wapi mimi na Kajala...”
Wema Sepetu Ashtushwa Na Kajala Kurudiana Na Clement Wema Sepetu Ashtushwa Na Kajala Kurudiana Na Clement Reviewed by Admin on Monday, February 17, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.