Unordered List

Definition List

Mwanadada Mwenye Kiuno Chembamba Ulimwenguni


Kuna ule msemo kuwa wanawake wenye viuno vyembamba huvutia kuliko wale wengine. Je wajua kipimo cha wembamba wa kiuno chako?

Kutana na Cathie Jung, mwanamke mwenye kiuno chembamba ulimwenguli kulingana na kitabu cha rekodi za dunia Guiness World Book Record.

Mwanadada huyu mzaliwa wa marekani ana urefu wa mita 7.12, ana kiuno kidogo cha sentimita 38.1 na kiuno kikuu cha sentimita 53.34. Mwanadada huyu amezaliwa mwaka wa 1937.

Ajab!
Mwanadada Mwenye Kiuno Chembamba Ulimwenguni Mwanadada Mwenye Kiuno Chembamba Ulimwenguni Reviewed by Admin on Thursday, February 13, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.