Unordered List

Definition List

Ney Wa Mitego Amnunulia Mpenzi Wake Chombo Kimpya...Nisha?!?

BAADA ya kumaliza mgogoro wao, msanii wa muziki wa kizazi kipya Bongo, Emmanuel Elibariki ‘Ney wa Mitego’ anadaiwa kumnunulia gari kali mpenzi wake aitwaye Siwema.

Akistorisha na gazeti hili, Nay alisema aliamua kumnunulia mpenzi wake gari hilo lenye thamani ya shilingi milioni 36 kwa sababu anampenda na alimuahidi kumpa zawadi.

Gari aina ya Lexus
“Siwezi kuficha nampenda sana Siwema ndiyo maana nimempa zawadi ya gari, nilimuahidi nitampa zawadi lakini alikuwa hajui ni zawadi gani, nilipomfanyia ‘sapraizi’ ya gari hilo hakuamini,” alisema Nay wa Mitego.
Hivi karibuni Siwema alitundika picha ya gari hilo lenye rangi ya silva aina ya Toyota Lexus katika ukurasa wake wa Instagram akimshukuru ‘baby’ wake huyo.

Tukiacha ya Siwema kando, Nisha pia alipewa ushauri na Wema Sepetu kumnasua Ney Wa Mitego, Je atafaulu ama kazi kwisha!?
Ney Wa Mitego Amnunulia Mpenzi Wake Chombo Kimpya...Nisha?!? Ney Wa Mitego Amnunulia Mpenzi Wake Chombo Kimpya...Nisha?!? Reviewed by Admin on Friday, February 14, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.