Unordered List

Definition List

Justin Bieber Anaswa Live Katika Tendo La Ngono

Justin Bieber amenaswa live katika video ya ngono.

Staa huyu wa nyimbo 'Confident' amenaswa katika kamera katika kitendo cha ngono na madada wawili. Kulingana na mtandao wa Radar Online inasemekana tukio hilo lilifanyika nchini Queensland Australia mwezi wa November mwaka jana katika ziara yake ya kufanya shoo ya 2013.

Bieber ameonekana akijirusha nyuma ya migongo wazi ya madada hao wawili huku sehemu nyingine zikimuonyesha Bieber akiwavua madada hao chupi zao akitumia midomo.

Kulingana na Radar Online, video hio ambayo ni clear kabisa ya dakika 12 ilimuonyesha Bieber akifanya mambo yake na inasemekana kuwa muda huo wote Bieber hakuwa akijigundua kama alikuwa anarekodiwa katika video.

Video hio muda huu inauzwa katika vituo kadhaa vya habari kwa usambazaji.

Mwenyewe video hio anadai kuwa maisha yake yatabadilika pindi atakapoiuza video hio. Ni kama fortune kwake.

Tegea mumu humu kwa yote yatakayojiri katika skendo hili.
Justin Bieber Anaswa Live Katika Tendo La Ngono Justin Bieber Anaswa Live Katika Tendo La Ngono Reviewed by Admin on Monday, February 03, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.