Unordered List

Definition List

Demu Ajichuna Ngozi Kisa Ni Kuachwa Na Mpenziwe (PICHA)

Ukija kugundua kuwa mpenzi wako anakuendea kinyume na mapenzi yako utafanyaje?

Kwa Torz Reynolds imekuwa tofauti na unavyotarajia wewe...Mwanadada huyu wa miaka 26 aliamua kuitoa ngozi yake baada ya kugundua kuwa mpenzi wake anamuendea kinyume.

Torz mzaliwa wa Uingereza ameamua kujubua ngozi yake pale ambapo amechora jina la mpenziwe wake.

Kulingana na Torz, mpenziwe wake Stuart 'Chopper 26 alimdanganya kuwa anaenda nchini Alaska kwa ziara fulani kumbe ilikuwa ni njama ya kukutana na mpenzi wake wa kando siku ya Valentine.

Torz aliamua kuitoa tatoo iliyoandikwa 'Chopper's Bitch' na kumtumia kwake kupitia barua.

Cheki picha yenyewe hapo chini:

Demu Ajichuna Ngozi Kisa Ni Kuachwa Na Mpenziwe (PICHA) Demu Ajichuna Ngozi Kisa Ni Kuachwa Na Mpenziwe (PICHA) Reviewed by Admin on Saturday, February 15, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.