Unordered List

Definition List

Romy Jones Na Diamond Platinumz Wakiwa Miaka 3

Diamond Platinumz na Romy Jones wametoka mbaliii.

Ndugu hao wawili wanaonyesha wametoka mbali kimaisha kupitia picha zao zikionyesha wakiwa wadogo.

Staa Diamond Platinumz ni staa wa kulengwa kwa manati haswa baada ya kuonyesha picha za maisha yake anakoishi

Cheki picha za wawili hao wakitabasamu huku mama yao akiwa nyuma yao kwa kitanda.
 

Romy Jones na Diamond Platinumz
Romy Jones Na Diamond Platinumz Wakiwa Miaka 3 Romy Jones Na Diamond Platinumz Wakiwa Miaka 3 Reviewed by Admin on Thursday, February 06, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.