Msanii size 8 ambaye alikuwa akiimba nyimbo za kidunia anaendelea kuwaimarisha mashabiki wake hata baada ya kuanza kuimba nyimbo za injili. Staa huyu kupitia nyimbo yake ya 'mateke' anaonyeshanustadi alionao wa kurusha mateke kuashia kumpiga shetani.
Katika picha zake za hivi karibuni akifanya shoo, zimemuonyesha akirusha miguu yake juu zaidi. Cheki baadhi ya picha zake:
Katika picha zake za hivi karibuni akifanya shoo, zimemuonyesha akirusha miguu yake juu zaidi. Cheki baadhi ya picha zake:
Size 8, Msanii Wa Injili Azidi Kupanua Miguu Yake Mbele Ya Jukwaa (Picha)
Reviewed by Admin
on
Friday, May 09, 2014
Rating:
No comments:
Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!
Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano