Baadhi ya wanawake wengi wa hapa mjini wameanza kutumia style mpya ya kugundisha nywele aka wiving katika vichwa vyao kwa kutumia gundi pasipo kujua mazara yake.
Watafiti na Madaktari kutoka bara ya ulaya wamethibitisha kuwa gundi hizo zinazotumiwa huwa zinakemikali ambayo zinaleta adhari kubwa katika mwili wa mwanadamu hususani kansa.
Picha unayoiona hapo chini si kuwa ni mtu amevalia gwanda ama ni kuchomeka na moto bali ni madhara ya kuvalia wigi kwa muda mrefu. Uvaaji wa wigi ni moja wapo wa uchochezi wa ugonjwa wa kansa aina hii ya ngozi.
Mpaka sasa madaktari bingwa kutoka ulimwenguni kote bado hawajapata uvumbuzi wa dawa ya kutibu kansa zaidi tu ya kutumia njia ya kuchomelea mionzi ili mgonjwa apate ahueni.
Picha unayoiona hapo chini si kuwa ni mtu amevalia gwanda ama ni kuchomeka na moto bali ni madhara ya kuvalia wigi kwa muda mrefu. Uvaaji wa wigi ni moja wapo wa uchochezi wa ugonjwa wa kansa aina hii ya ngozi.
Uvaaji Wa Wigi (Weave) Huchangia Kansa, Utafiti Waonesha (Picha)
Reviewed by BkuHabari Admin
on
Friday, May 09, 2014
Rating:
No comments:
Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!
Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano