Unordered List

Definition List

Ney wa Mitego Apewa Makavu Baada Ya Kujiita King of Rap Wa Bongo

Nay wa Mitego anaamini kuwa ukimtoa Profesa Jay wa zamani (anadai huyu wa sasa kachoka) yeye ndiye rapper bora zaidi kuliko mwingine Tanzania. Lakini mashabiki wanaikubali kauli hiyo? Hell NO!!


Octavian Kiwale

Unatafuta kick tu wewe, nadhubutu kukuambia ukizungumzia HIP HOP hata killer tu hujamfikia ndo ujiringanishe na Prof?//////// FID Q ndo usimwongelee kabisa

Winnie Glory

We ney fid Q na joe makin huwafiki hat robo, mbuz tu wew ndo man unalelewa na siwema

TheBoy Junior


Na je nakula ujana ipo wapi hip hop au bongo fleva na akisema ye ndo anaongea ukweli nash mc tumuweke wapi sasa? Asitafte kiki wasanii wa hip hop wengi na wanafanya vile hip hop inapaswa kuwa. Huyu hana jipya tena tafta Scandal utoke kama diamond na si kwakusema we ndo hip hop hata hip hop yenyewe huijui….

Agapito Petro

Mwana fa,ngwair(r.i.p.),kala jere100, ay n.k. Huwafikii hata kiduchu

Laurent Mwamlima
Ney umeishaaaa… kajititie tu Hata MPOKI MJUNI hata mzee MGARI humfikii kwa hip hop

Vitalis Kaizer
Hata 50 bora ya hip hop sidhani kama umo bado sanaaaaaaa kuropoka sio hip hop jipangee!!

Dotto Kondo

Huyu jamaa bhana,sometimes nahc huwa akili zinamruka

Ze Jap Suprah
Chiz wewe mwambie aandike kip sijasikia hafu tuone

Rashid Mtoi

Dogo janja mwenyewe humfikii hata robo
Ney wa Mitego Apewa Makavu Baada Ya Kujiita King of Rap Wa Bongo Ney wa Mitego Apewa Makavu Baada Ya Kujiita King of Rap Wa Bongo Reviewed by Admin on Wednesday, May 14, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.