Unordered List

Definition List

50 Cent Atoa Commentary Kuhusu Vita Dhidi Ya Jay Z Na Solange Knowles

Huku dunia ikitaka kujua kusuhu stori iliyosambaa sana kuhusu vita kati ya dadake Beyonce Solange Knowles, 50 Cent alikuwa yuko buzy akifanya commentry ya kuchekesha kuihusu video hio.

Japo aliongea kwa ufupi, kuna maneno yaliweza kunaswa.

"I will f--k you up, Jay!" alisema 50, akichukua sauti ya Solange. "F--k your Marcy s--t! This is Houston!"

50 aliweza kuirusha hii video kwa mtandao wa Instagram kabla kuidetele, lakini tena si waelewa ukirusha kitu kwa internet hakifichiki tena.

Hebu cheki video yenyewe kabla haijachukuliwa hatua ya kufutwa katika mtandao wa youtube

50 Cent Atoa Commentary Kuhusu Vita Dhidi Ya Jay Z Na Solange Knowles 50 Cent Atoa Commentary Kuhusu Vita Dhidi Ya Jay Z Na Solange Knowles Reviewed by Admin on Wednesday, May 14, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.