Unordered List

Definition List

Madonna: Picha Ya Uchi Yamuonyesha Kovu La Plastic Surgery

Madonna ashawahi kurusha picha nyingi kwa mtandao wa Instagram, lakini picha hii latest imeonyesha mambo ambayo hakukusudia kuonyesha kamwe.

Katika hii picha inamuonyesha Madonna katika tubu la bafu akiuweka mgongo wake kupigwa picha na kamera lakini kwa umakini utaona utofauti.

Katika sikio lake la kulio ukiangalia vizuri utaona mstari hivi (kovu) ambalo hupatikana kwa mtu ambaye amefanyiwa upasuaji wa uso.

Cheki picha yenyewe:





Hatusemi kitu ila tu huo ndio waitwa urembo, Madonna ni dhahiri amefanyiwa upasuaji wa uso (facelift)
Madonna: Picha Ya Uchi Yamuonyesha Kovu La Plastic Surgery Madonna: Picha Ya Uchi Yamuonyesha Kovu La Plastic Surgery Reviewed by Admin on Wednesday, May 14, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.