Unordered List

Definition List

Kim Kardashian Aonyesha Kifua Na Mabega Yake Katika Picha Latest

Hivi karibuni Kim Kardashian naona atapokea cheo cha kuwa malkia wa kujipiga picha za 'selfies' kwa sababu kila picha atakayopiga huwa ya ajab na hakuna mtu anaweza kupinga.

Katika picha latest aliyopiga siku ya Jumanne, staa huyu wa Keeping Up With The Kardashian ameonyesha mabega yake na kuonyesha sehemu za chini za matiti yake...bila shaka alikuwa ametoka kupiga mazoezi.

''Just finished my morning workout'', staa huyu alipost picha hii ikiambatanishwa na hayo maneno.

Ok kuna sababu muhimu kwa nini Kim ameamua kujikeep busy na mazoezi:

PESA ZAMSUMBUA

Ni kwa sababu hivi karibuni anaharusi na Kanye West mwenyewe.

Harusi inatarajiwa kufanyika Mei 24 mjini Paris na wageni 100 wanatarajia kuhudhuria siku hio.

So Kim anajiandaa kwa hio siku pamoja na kutengeneza shepu yake ili nguo ya harusi yake iwe fiti


Kim Kardashian Aonyesha Kifua Na Mabega Yake Katika Picha Latest Kim Kardashian Aonyesha Kifua Na Mabega Yake Katika Picha Latest Reviewed by Admin on Wednesday, May 14, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.