Unordered List

Definition List

Lady Jay Dee Atemwa Kill Music Tour Baada Ya Kuonyesha Dharau Kwa Twitter

 
Ile orodha ya wanamuziki Walioshinda Tuzo za Kill Music Ambao Kawaida Baada ya Tuzo hizo Huzunguka karibia nchi nzima kufanya Shows imetajwa huku Lady Jay Dee Pamoja na Kupata Tuzo Hayupo Katika List Hiyo, Inasemekana kilichomponza ni Ile Tweet yake iliyoonyesha dharau kwa tuzo hizo kwa kusema hafahamu hata kama zilishafanyika na hajui kama ameshinda...

J @xm2015
Follow
@JideJaydee dada uwe Basi unakuja  kwenye tuzo mara nyingi unawakilishwa wapiga kura huwa tunaham ya Nakuona.


Lady JayDee @JideJaydee
Follow
@maliasongo1 kwani zilishafanyika?
Lady Jay Dee Atemwa Kill Music Tour Baada Ya Kuonyesha Dharau Kwa Twitter Lady Jay Dee Atemwa Kill Music Tour Baada Ya Kuonyesha Dharau Kwa Twitter Reviewed by BkuHabari Admin on Wednesday, May 14, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.