Mchezo huu wa tennis ulichezwa wikendi iliyopita jijini London ambapo uliweza kuvutia mashabiki watajika kadhaa kama vile Jennifer Lawrence, Gwyneth Paltrow, na Kevin Space. Mchezo huu uliweza kuchezwa katika kilabu binafsi cha Holborn club ambapo wanaume na wanawake wenye miili ya kuvutia walishiriki.
Mchezo huu unaamini chimbuko lake ikiwa Engand miaka ya 1880 na ulichezwa na watu wa darasa la juu kama mchezo wa kujiburudisha baada ya chakula chajio. Tangu 1988 mchezo huo umeweza kuwa mchezo wa Olympiki.
Wahusika katika mchezo huu huko London kwa mara ya kwanza walikuwa na wasiwasi kuhusu kucheza lakini baadae walijiskia huru pindi gemu ilipoendelea.
Je waweza kucheza table tennis ya uchi wewe?
Picha: Ungana Na Mchezo Wa Kwanza Wa Table Tennis Ambao Huchezwa Uchi Mnyama
Reviewed by Admin
on
Wednesday, May 14, 2014
Rating:
No comments:
Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!
Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano