Unordered List

Definition List

Kama Umedhania Huddah Monroe Amekuwa Maskini, Fikra Zako Zitabadilika Baada Ya Kuona Hii


Kila mtu anajua kuwa Huddah Monroe amekuwa maskini wa 'kuombaomba'. Na kama bado hujapata hio stori we si shabiki wake.

Tena tatizo kubwa la staa kuwa maskini kawaida hupoteza umaarufu, kitu ambacho Huddah hataki kukisikia kamwe maishani mwake.

Hivi karibuni amekuwa akijipitisha pitisha kwa mtandao akirusha picha za mitego kupata atenshen flani. Kiufupi Huddah amepoteza tachi yake ya zamani kwa mtandao (labda muda huo wote alikuwa hana simu, labda alikuwa na simu ya mchina)

Lakini sahizi bkuHABARI inaweza kuconfirm kuwa Huddah amerudi kama zamani!!

Picha kutoka kwa mdada huyu imemuonyesha akishikilia simu aina ya Samsung Galaxy S5 iliyomgharimu pesa za Kenya 85,000 takriban milioni 2.7 za kibongo.



Sasa itabidi mahasimu wote na wabishi wa Huddah Monroe wajipange vyema Instagram coz duh kutakuwa na tatizo
Kama Umedhania Huddah Monroe Amekuwa Maskini, Fikra Zako Zitabadilika Baada Ya Kuona Hii Kama Umedhania Huddah Monroe Amekuwa Maskini, Fikra Zako Zitabadilika Baada Ya Kuona Hii Reviewed by Admin on Thursday, July 03, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.