Unordered List

Definition List

Wema Sepetu, Aunt Ezekiel Wapigwa Picha Abazo Zilitibua Saum Ya Wengi


OOHOO! Picha ambazo hazijakaa poa katika kipindi hiki cha Mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani za mastaa, Aunt Ezekiel, Wema Sepetu na Martin Kadinda zimetibua swaumu za Waislamu waliofunga.

Picha hizo zinazoonesha ni za kipindi cha Wema cha In My Shoes kinachorushwa kupitia EATV, zinawaonesha sehemu ya juu wakiwa wazi.

“Huyu aliyeachia hizi picha ametutibua sana sisi tuliofunga, alilenga kutuharibia swaumu zetu, haijakaa poa sana,” ilisomeka sehemu ya maoni ya picha hizo kwenye mitandao ya kijamii.
Wema Sepetu, Aunt Ezekiel Wapigwa Picha Abazo Zilitibua Saum Ya Wengi Wema Sepetu, Aunt Ezekiel Wapigwa Picha Abazo Zilitibua Saum Ya Wengi Reviewed by Admin on Monday, July 07, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.