Unordered List

Definition List

Kutana Na Msanii Wa Bongo Ambaye Ni Bikra


Kwa jina anajulikana kama Diana Rose Kimaro na amekuwa katika tasnia ya bongomovies kwa muda sasa. Kuhusiana na ubikra wake haya ndio maneno aliyotamka kuhusiana na kuwa bikira “Sijui kabisa mambo hayo na sijawahi kufanya upuuzi huo, ninaheshimu sana familia yangu baba yangu ni mkali sana hataki ujinga. Kwa hiyo si rahisi kudili na wanaume, mimi ni bikira , natoa nafasi kwa masomo kwanza sitaki kujichanganya na kuwa kituko mjini,”
Kutana Na Msanii Wa Bongo Ambaye Ni Bikra Kutana Na Msanii Wa Bongo Ambaye Ni Bikra Reviewed by Admin on Monday, July 07, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.