Unordered List

Definition List

Diamond Platinumz Avua Kilemba Uswahilini(VIDEO)

Ukidhania kuwa msanii Diamond Platinumz ni msanii mwenye majivuno na maringo basi umekosea.

Staa huyu ambaye yuko mbioni kutoa video ya My Number One remix ni msanii ambaye hana maringo.

Katika video hii, msanii huyu alikuwa amehudhuria sherehe ya kumtoa nje mtoto Ayaan baada ya kutimiza siku za 40 tangu kuzaliwa.

Hii video utamwona Diamond akifanya mambo yake ndani ya Uswahilini na ngoma za kiswazi zikichezwa.

 


Diamond Platinumz Avua Kilemba Uswahilini(VIDEO) Diamond Platinumz Avua Kilemba Uswahilini(VIDEO) Reviewed by Admin on Wednesday, November 27, 2013 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.