Baada ya daktari wa Michael Jackon, Conrad Murray kuweka wazi jana kuwa Michael Jackon alikuwa hana uume, bibi yake Michae, Debbie Row amemlaani.
Kulingana na Conrad, daktari huyo ameweka wazi kuwa Michael alikuwa hana maana yeyote na alikuwa akijikojolea ovyo kwa sababu ya utumizi mbaya wa madawa ya kulevya. Conrad aliongezea kusema kuwa yeye alikuwa kila usiku akimvalisha Michael tubu ambayo inamzuia yeye asiweze kujikojolea."Nilikuwa nikimvalisha condom kila siku." Conrad alisema.
Jambo hili lilimghadhabisha bibi yake wa zamani na kuapa ya kuwa Conrad atauliwa kwa risasi yenye sumu kwa muda wa miezi 18, na yeye ndiye atakayedhamini hio risasi.
Unaweza pia kusoma:
Ray C asherehekea mwaka mmoja bila kutumia madawa ya kulevya
Debbie pia aliweza kumfananisha Conrad kama mbwa mwenye sura mbaya na kama angeweza kumfuga yeye angekuwa akimpa mateso ya hali ya juu.
Debbie Row ndie mlezi wa watoto wawili wa Michael Jackson.

Dkr. Wa Michael Jackson Atapigwa Na Risasi, Bibi Wa MJ Alaani
Reviewed by BkuHabari Admin
on
Tuesday, November 26, 2013
Rating:
No comments:
Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!
Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano